Swahili

Wafuasi wake wanamuita ‘Comando’ jina la utani kuashiria kuwa ni mpambanaji. Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya anajulikana kwa jina hilo. Ni mwanzilishi wa vuguvugu la “Tawe Movement” ambalo chimbuko lake ni kabila la waluhya kusema kukataa.Akianzisha kauli mbiu hiyo alisema kuwa jamii ya waluhya imekuwa nyuma katika uwakilishi serikalini na maeneo muhimu. Amepiga kelele […]

Kwa miaka kadhaa, taswira ya mhuni wa kisiasa nchini Kenya ilikuwa ya kijana asiye na ajira, aliyevalia fulana ya chama cha kisiasa na kurushia mawe wapinzani kabla ya kutoweka kwenye umati.Wanawake walikuwa na nafasi tofauti. Waliimba nyimbo za kampeni, walicheza, walishangilia na kuhamasisha wapigakura na kwa nadra walihusishwa moja kwa moja na vitendo vya vurugu.Hata […]

Wakazi wa eneo la Bukoma katika Budalang’i, kaunti ya Busia County wamegubikwa na huzuni na simanzi kufuatia tukio la kusikitisha ambapo watu wanne wa familia moja waliripotiwa kupoteza maisha yao baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka kwa maafisa wa polisi, familia hiyo ilianza kuonyesha dalili za kuumwa […]

Katika vilima vya kijani vya Kenya, palikuwa na kijana mmoja aliyeitwa Isaya Kiriago. Isaya hakuwa mwanariadha wa kawaida; alikuwa “mwana-milima” (mountain runner) ambaye miguu yake ilionekana kuwa na mbawa kila alipokanyaga ardhi yenye mwinuko. Baada ya kufanya vizuri katika mashindano ya vyuo vikuu nchini Kenya (KUSF), ambapo alishinda mbio za mita 10,000 na 3,000, Isaya […]

Bei ya gesi ya kupikia (LPG) nchini Kenya imepanda kwa kiwango cha kutisha, na kuwa mzigo mkubwa kwa familia nyingi. Kwa sasa, mtungi wa kilo 13 wa gesi unauzwa kwa wastani wa KSh 3,160, ilhali makampuni ya masoko hununua kwa KSh 1,261 pekee—tofauti kubwa inayozua maswali kuhusu udhibiti wa soko na uadilifu wa bei. Utafiti […]

Kifuatia ongezeko la visa vya uayvaji mimba vinavyoripotiwa kila mwaka nchini Kenya, kwa asilimia ishirini (20%), (mwaka wa elfu mbili ishirini na moja 29%, mwaka wa elfu mbili ishirini na mbili 49%), wazazi wameombwa kuwashauri wanao kujilinda kutokana na mimba za mapema. Kulingana na ripoti ya Shirika la Afya Diniani (WHO), wasichana na wanawake wengi […]


Current track

Title

Artist

Background