Author: Ushindi Winsky
Walimu nchini wataanza kupokea nyongeza ya mishahara kuanzia malipo ya mwezi huu baada ya Tume ya Kuwaajiri Walimu (TSC) kutekeleza awamu ya pili ya Mkataba wa Makubaliano (CBA) wa miaka ya 2025–2029. Marekebisho hayo ya mishahara, yaliyoanza kutumika Julai 1, 2026, yatawaongezea walimu pesa ya hadi Sh2,055 kwa mwezi kulingana na daraja lao la kazi. […]
Kichinjio cha kisasa mjini Isiolo cha thamani ya Sh1 bilioni kinatarajiwa kufunguliwa rasmi wiki ijayo, miaka 17 baada ya ujenzi wake kuanza.Kichinjio hicho kilifanyiwa majaribio ya kufanya kazi mnamo Ijumaa. Wakati wa majaribio hayo, ng’ombe, mbuzi na ngamia walichinjwa ili kupima ufaafu wa mashine na mifumo ya kisasa kabla ya uzinduzi wake unaotarajiwa kufanywa na […]
Wafuasi wake wanamuita ‘Comando’ jina la utani kuashiria kuwa ni mpambanaji. Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya anajulikana kwa jina hilo. Ni mwanzilishi wa vuguvugu la “Tawe Movement” ambalo chimbuko lake ni kabila la waluhya kusema kukataa.Akianzisha kauli mbiu hiyo alisema kuwa jamii ya waluhya imekuwa nyuma katika uwakilishi serikalini na maeneo muhimu. Amepiga kelele […]
Kwa miaka kadhaa, taswira ya mhuni wa kisiasa nchini Kenya ilikuwa ya kijana asiye na ajira, aliyevalia fulana ya chama cha kisiasa na kurushia mawe wapinzani kabla ya kutoweka kwenye umati.Wanawake walikuwa na nafasi tofauti. Waliimba nyimbo za kampeni, walicheza, walishangilia na kuhamasisha wapigakura na kwa nadra walihusishwa moja kwa moja na vitendo vya vurugu.Hata […]
Former East Africa Legislative Assembly (EALA) member Abubakar Zein Abubakar has died.Abubakar, who served as the head of the Presidential Secretariat for the Wiper Democratic Movement, died on Thursday, July 9, 2026, at a Nairobi hospital. The cause of his death was not immediately disclosed.According to those close to him, he had undergone surgery and […]
A routine night patrol in Nairobi’s Kamukunji area turned violent after a police constable was slashed several times with a panga, forcing a fellow officer to shoot dead the attacker.The dramatic incident unfolded at about 8.30 pm on Monday along Racecourse Road, where police said an unidentified man armed with a panga launched a sudden […]
Detectives are investigating murder after the body of a man was discovered along the banks of River Nyando in Nyando Subcounty, Kisumu County, under circumstances pointing to a suspected murder.The incident was reported on Saturday by a local who alerted authorities after spotting the body behind Karanda Primary School. Police officers visited the scene and […]
Ingawa ni uchaguzi wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na kifo cha mbunge, sasa umechukua sura ya vita vya kisiasa kati ya Naibu Rais Kithure Kindiki na mtangulizi wake Rigathi Gachagua kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.Hata hivyo, viongozi hao wawili wamechagua kutokuwa mstari wa mbele katika kampeni. Badala yake, wanatazama washirika wao kuendesha kampeni huku […]
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ambaye akiwa na vigogo wengine wa Upinzani wametangaza maandamano makubwa ya kukemea kile wanachokiita ‘utawala mbaya’. Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, wikendi alizindua rasmi jukwaa la kuendesha kampeni zake za urais, akiahidi kubadilisha maisha ya Wakenya dhidi ya kile alichokitaja kuwa ni uongozi mbaya, ufisadi na kupanda kwa gharama ya […]
The United States has revealed it has alternative options for handling Americans exposed to Ebola if a proposed quarantine facility in Kenya is blocked by the courts, even as Washington remains hopeful an agreement with Nairobi will still be reached. Speaking during a White House briefing, US Centers for Medicare and Medicaid Services Administrator Dr […]