Author: Ushindi Winsky

Page: 4

Katika mji mtulivu wa bondo, giza nene lilitanda kufuatia tukio la kuhuzunisha lililokatiza ndoto za mwanafunzi mchanga wa chuo kikuu cha Jaramogi Oginga odinga cha Sayansi na Teknologia . Binti huyu aliyekua na matumaini yake kesho iliyo bora, alipatikana ameuawa kinyama ndani ya nyumba yake ya kukodisha nje ya chuo hicho. Habari hizi zilisambaa kama […]


Current track

Title

Artist

Background