Author: RadioVuna

Page: 2

Brick makers in Emuhaya Constituency are grappling with an increased risk of bilharzia as several residents take up the job without adequate protective measures. The Vihiga County Department of Health has identified North East Bunyore Ward as a high-risk area for the disease, largely due to the widespread brick-making activities that serve as a primary […]

A 39-year-old construction worker died after being hit on the head by a falling concrete block at a building site in Tudor, Mombasa County.According to the police, the incident occurred on Tuesday morning at about 9:00 a.m. at the construction site. The person was identified as Jotham Olouch, a 39-year-old man. He was among the […]

Kila mtu hupambana na suala la kufikia malengo makubwa maishani.Je uwewai kujiwekea lengo, kama watu wengi, labda ulianza vizuri sana, lakini baadaye ukapoteza msimamo na ukapata shida kupata motisha tena. Angalia ni watu wangapi hupunguza uzito wao kisha baada ya siku chache unawaona tena wamenenepa. Ukweli ni kwamba kuanza upya jambo fulani hata liwe dogo […]

Jana usiku nimekuwa nikisoma bibilia kuhusu hadithi ya Ibrahimu alivyoagizwa kumtoa mwanawe Isaka kama dhabihu. Hii ni hadithi ambayo nimekuwa nikisoma mara kwa mara ila nikiiihadithia kwa marafiki, watoto au yeyote yule ninaielewa kwa njia nyingine tofauti. Je hili limewai kutokea? Gafla unapata kitu kingine ambacho haukukitarajia. Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati wa Ibrahimu na Isaka. […]

Kila mtu anaweza kuwa msimulizi wa hadithi. Sote tunauwezo wa kusimulia hadithi zinazoguza mioyo ya timu zetu kuzitoa katika kulegea na kuwapa nguvu. “ikiwa wewe ni kiongozi ni lazima uwe msimulizi wa hadithi.” Daima tumekuwa tukisimulia hadithi ili kuelewa ulimwengu unaotuzunguka, mazingira tunayoishi na muhimu zaidi kujielewa sisi wenyewe. Kwenye makala haya nitakufunza jinsi ya […]

Kwa miaka mingi kaunti ya Nyamira imezoeleka kwa utulivu wa shughuli za kilimo na biashara ndogondogo hata hivyo Aprili 13, 2026 jua la asubuhi lilipochomoza lilichomoza na mwangaza wa kipekee uliopasua ukimya huo kwa kishindo cha matumaini mapya. Ziara ya rais William Ruto katika kaunti ya Nyamira haikuwa tu ya salamu za kisiasa bali salamu […]

Udadisi ndio mwanzo wa maarifa na katika kazi yangu ya udadisi nilibaini kati ya wapitanjia kadhaa mmoja kati yao anatatizo la uvimbe haswa uvimbe kwenye mguu mmoja au miguu yote katika kaunti ya Kisii ni kawa na hamu ya kufahamu chanzo cha tatizo hili ambalo nimeliona kwa watu kadhaa. Kupitia utafiti wa kina nilioufanya nilibaini […]

Preparations for harambee stars upcoming match against Lesotho have been affected by an accommodation dispute after team members of the Harambee Stars squad reportedly said that they are not satisfied with the hotel arrangement for their stay in Pretoria, South Africa. The team arrived in south Africa earlier this week expecting to begin their training […]

The journey toward the Women’s Africa Cup of Nations (WAFCON) is slowly taking shape, and Kenya’s women’s national football team, the Harambee Starlets, are back in training with renewed focus and determination. Head coach Beldine Odemba has now made a passionate appeal to fans across the country to stand firmly behind the team as they […]

Baada ya miaka kadhaa ya kusubiri mafanikio makubwa, hatimaye Arsenal imefanikiwa kurejea kileleni mwa soka la England chini ya kocha wake Mikel Arteta. Kocha huyo Mhispania ameiongoza Arsenal katika msimu bora uliowafanya mashabiki kuamini tena katika timu yao. Katika michezo 37 ya ligi, Arsenal ilifanikiwa kushinda mara 26, kupoteza mechi tano pekee na kutoka sare […]


Current track

Title

Artist

Background