tomato prices

Bei ya nyanya imeendelea kupanda kwa kasi katika masoko mbalimbali ya Kaunti ya Kisii, hali iliyogeuza bidhaa hiyo muhimu kuwa kama “dhahabu nyekundu” kutokana na thamani yake kubwa kwa sasa. Kupanda kwa bei kumewanufaisha wakulima waliokuwa wamejiandaa mapema, huku wananchi wengi wakilalamikia gharama kubwa za maisha na kupungua kwa uwezo wa kumudu bidhaa za kila […]


Current track

Title

Artist

Background