social heath authority

Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) imetangaza kifurushi kipya cha huduma za afya cha mwaka 2026 kitakachowanufaisha zaidi wagonjwa wa saratani na kina mama wajawazito kufuatia agizo la Rais William Ruto. Katika maboresho hayo, fedha za matibabu ya saratani zimeongezwa kutoka Sh550,000 hadi Sh800,000 kwa mwaka kwa kila familia ili kusaidia wagonjwa kupata huduma za […]


Current track

Title

Artist

Background