TUBARIKIWE SABATO

MSIMULIZI: JOHN OGOI

Scheduled on

Friday 8:00 pm 12:00 am

Ijumaa ya Injili.

Tagged as: ,
Ijumaa ya Injili.

Kipindi TUBARIKIWE SABATO ni kipindi ambacho hukujia kilaa Ijumaa,ambapo ni nyimbo za Injili ya kiaadventista tu huchezwa na kutangaza ujumbe wa Malaika watatu marejeo ya Kristo(Ufunuo14:6-9 )Kisha nikamwona malaika mwingine akiruka katikati ya mbingu,* naye alikuwa na habari njema ya milele ili aitangaze kwa wale wanaokaa duniani, kwa kila taifa na kabila na lugha na watu.+  Alikuwa akisema kwa sauti kubwa: “Mwogopeni Mungu na kumpa utukufu, kwa sababu saa ya hukumu yake imefika,+ kwa hiyo mwabuduni Yule aliyeziumba mbingu na dunia na bahari+ na chemchemi za maji.”*  Na mwingine, malaika wa pili, akafuata, akisema: “Ameanguka! Babiloni Mkubwa+ ameanguka,+ yule aliyeyafanya mataifa yote yanywe divai ya hamu* ya uasherati* wake!”+  Malaika mwingine, wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kubwa: “Yeyote akimwabudu yule mnyama wa mwituni+ na sanamu yake na kupokea alama kwenye paji la uso wake au kwenye mkono wake.

Kupitia kipindi hiki nyoyo za wengi zimepata kuuishwa kwani kila jumatu shuhuda ambazo hutumwa ilikupata maombi au kuelekezwa katika njia ya Kiungu.

Tunapokea na kucheza hewani nyimbo kutoka kwa waimbaji,kwaya na makanisa mbalimbali ambazo zina mguso na jumbe za kipekee.Hii ni njia moja ya kuwapa motisha waimbaji hao.

Mara kwa mara huwepo na maombi kwa mahi taji ya msikilizaji na hapa imenilazimu kujumuisha Wahubiri wa makanisa ya Kiadventista viungani ambao kwa sasa wamekua wa msaada ajabu.

Ni ombi langu ya kuwa tutazidi kutia jitihada na kuhakikisha kwamba jumbe zakipindi kupitia Radio Vuna zitaimarisha maisha ya kiroho ya wengi.


Read more

Current track

Title

Artist

Background